Baada ya hapo nitakachofanya kitu ambacho shule itabaki inajilaumu.Hapo tunaivisha vyote vilivyomo ndani[emoji1] [emoji1]
Hahaha, mlimfanyia umafia aisee. Ila viranja wa msosi wanakuaga mafisadi kweli yani.Nakumbuka sisi kiranja wetu wa msosi alikuwa anaficha uji kwenye trunk, siku moja na ubagidu wangu nililigeuza trunk juu chini. Halafu nikalirudisha lilivyokuwa.....