Hii ndiyo dawa ya kiranja mnoko.

Hii ndiyo dawa ya kiranja mnoko.

Don Vito

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
1,342
Reaction score
2,105
Enzi hizo za sekondari....
tapatalk_1539015403267.jpeg
 
Nakumbuka sisi kiranja wetu wa msosi alikuwa anaficha uji kwenye trunk, siku moja na ubagidu wangu nililigeuza trunk juu chini. Halafu nikalirudisha lilivyokuwa.....
 
Nakumbuka sisi kiranja wetu wa msosi alikuwa anaficha uji kwenye trunk, siku moja na ubagidu wangu nililigeuza trunk juu chini. Halafu nikalirudisha lilivyokuwa.....
Hahaha, mlimfanyia umafia aisee. Ila viranja wa msosi wanakuaga mafisadi kweli yani.
 
Back
Top Bottom