Hii ndiyo Dawa ya mapenzi

Hii ndiyo Dawa ya mapenzi

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Tafuta ela efu 40000
Tafuta mafuta ya harufu ya 5000
Tafuta T-shirt nzuri ya 15000
Tafuta suruali nzuri ya 10000
Na viatu vya 5000
Alafu jioni kabla jua halijakwenda malaloni
Nawa Mwili mzima alafu
Vaa Nguo ulizo nunua Na kujipaka mafuta uliyo nunua pesa zingine Weka mfuko wa mbele hakikisha zinaonekana kabisa
Alafu nenda kutongoza mwanamke yeyote umtakaye
Utakuja kunishukuru
 
Haha!kwamba unaaanza kuwalimit watu kwa amount ya kutafuta hela isizid elf 90,au ni mimi tu ndo sijaelewa?
 
Dawa ya mapenzi
•vaa zako jinsi lako la mtumba
•tinga t shirt yako ya mtumba iliyo safi
•vaa zako raba nyeupe za mtumba
•chukua kiswaswadu chako cha TECNO weka mfukoni
•Pulizia pafyumu yako safi
•Nenda dukani kwa Mangi, agiza MIRINDA NYEUSI huku umetulizana kwenye kabenchi!

Utakuja kunishukuru!
N.B: Weka sura ya huruma!
 
Jamni eeh Wana jF nataka kujifunza bajaji ili kujikwamua na maisha lakn pakujifunzia Sina ndugu zangu msaana tafadhali seriously!!
 
Tafuta ela efu 40000
Tafuta mafuta ya harufu ya 5000
Tafuta T-shirt nzuri ya 15000
Tafuta suruali nzuri ya 10000
Na viatu vya 5000
Alafu jioni kabla jua halijakwenda malaloni
Nawa Mwili mzima alafu
Vaa Nguo ulizo nunua Na kujipaka mafuta uliyo nunua pesa zingine Weka mfuko wa mbele hakikisha zinaonekana kabisa
Alafu nenda kutongoza mwanamke yeyote umtakaye
Utakuja kunishukuru

images (22).jpeg
 
kama jF ingelikuwa na uwezo wa kuonesha maisha halisi ya mtu, ningeanzia kwenu ninyi wawili! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnavyoonekana ni kama mnamiliki makampuni makubwa [emoji23][emoji23]
Ni utani tu! Sijamaanisha!
Haya waombe jf chap wakuonyeshe unachokitafuta😂
 
Tafuta ela efu 40000
Tafuta mafuta ya harufu ya 5000
Tafuta T-shirt nzuri ya 15000
Tafuta suruali nzuri ya 10000
Na viatu vya 5000
Alafu jioni kabla jua halijakwenda malaloni
Nawa Mwili mzima alafu
Vaa Nguo ulizo nunua Na kujipaka mafuta uliyo nunua pesa zingine Weka mfuko wa mbele hakikisha zinaonekana kabisa
Alafu nenda kutongoza mwanamke yeyote umtakaye
Utakuja kunishukuru
Aisee! 🤔🤔
 
Back
Top Bottom