Hii ndiyo dawa ya mapenzi!

Labda Lakini Kuna watu wanayo hayo majani Lakini wapi.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Dawa pia ya upungufu wa nguvu za kiume. Sisi wakongwe tuna msemo 'kiume pesa'.
 
Japo ni nje ya mada, ila wakuu hao watu wanao design pesa zetu za Tanzania huwa wanazitendea haki sana. Pesa za nchi nyingi zina muonekano mbaya mpaka inashangaza, ila ndio hivyo pesa ni pesa na haihukumiwi kwa muonekano.

NB: Ukitaka kusema pesa sio kila kitu, hakikisha kwanza unazo, tofauti na hapo huna mamlaka ya kuzizungumzia.
 
NB: Ukitaka kusema pesa sio kila kitu, hakikisha kwanza unazo, tofauti na hapo huna mamlaka ya kuzizungumzia.😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…