Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Kuishi kwa hopes ni rahisi sanaUmeandika.. yale umetunga.. umejitahidi kusumbua kichwa.. ila jaribu tena.. majembe tupo.. tunawojua kusoma kati ya herufi kwanza.. 🔥🔥🔥 huo bebeni ndooo.. kwa kuona 2020 inaacha historia nchini.
Magufuli 2020💯
CCM haitegemei tena kutumia njia za kihalali kurudi kwenye dola. Hapa inavyoonekana ni hata afe punda lakini mzigo lazima ufike.Kwa sasa hivi CCM ni mbwa mwenye njaa anatakakiwa asichague mifupa ila Mwenyekiti anafikiri hazina kuna minofu Prof Mpango ni Waziri anayejua kuzipepea korodani za mfalme.
Nadhani hii ni kweli . Dodoma madiwani imejitokeza mkanganyiko baada ya kuwateua walioshika nafsi za pili . Barua zikatoka tena kuwa washindi wa kura za maoni ndio wapewe barua za uteuzi. Inajulikana kuwa washindi walitumia pesa na hivyo wana uwezo wa kifedha... waachwe hao hao wataweza kujiendeshea kampeni...Kwahiyo, inasemekana kua bosi anadai kwamba ikiwa katika kila jimbo Chama hakitakua na gharama za kuchangia ispokua wagombea wajibebe wao wenyewe. Kama mgombea ana ukwasi wa kutosha na alishinda kura za maoni,anayo nafasi kubwa ya kupenya hata kama ana makandokando yenye ushahidi usiojitosheleza.
Existing realityNadhani hii ni kweli . Dodoma madiwani imejitokeza mkanganyiko baada ya kuwateua walioshika nafsi za pili . Barua zikatoka tena kuwa washindi wa kura za maoni ndio wapewe barua za uteuzi. Inajulikana kuwa washindi walitumia pesa na hivyo wana uwezo wa kifedha... waachwe hao hao wataweza kujiendeshea kampeni...
Mpaka uwe na ushahidi wa kutosha, upo ushahidi huo?Mbwembwe ni mbwembwe tu
Wawalete wagombea wasio na madoa madoa wala halafu ya rushwa