Huko wahuni ndio wamemgongea Manara mkeweJamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
View attachment 2494991View attachment 2494992View attachment 2494993View attachment 2494994View attachment 2494995View attachment 2494997View attachment 2494998View attachment 2494999View attachment 2495000View attachment 2495001View attachment 2495002View attachment 2495004View attachment 2495005View attachment 2495006
Watoto wa kiarabu wenye uraia wa UAE huwezi kukutana nao hovyo. Makahaba wa kutoka nchi zingine ni wengi sana. Nilikutana na jimama la kikenya mchana linauza kwa dirham 50. Kama Tsh 30k tu.Hujazungumzia watoto wa kiarabu, ili akili iliseti kuwa kweli upo huko.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nitakuwa nimechanganya. Ila kuna sehemu nilienda wanauza computer used palikuwa pachafu. Deira iko juu mno kwa Dar. Dar bado ni ushenzini.Wewe umefika DUBAI kweli haya ni maelezo fasaha kabisa. Ila SHARJAH huwezi kuilinganisha na Dar ni nzuri sana,sijajua umelinganisha sehemu ipi? kama ni Industrial areas sawa. Kwangu mimi sehemu unayoweza kuilinganisha na Dar ni AJMAN.
Hata DEIRA ina mitaa mizuri kuliko Dar, jaribu kuiwazia BANIYAS na UNION ni ya moto mno.
Mkuu mbona unapenda kujichekesha kama gasho hivi!Kaka na wewe upo ustaadhi nikusalimie!l kiarabu Aslaam aleykuum[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au nikusalimie kibantu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!!
Duu hongera sana,Wengine sijui mnafanyaje kufikia huko,,,Yaani hiyo statement ya " nimekaa muda mrefu ughaubuni",hunivutia sana nauliza wenzangu wanafanyaje?Ki Majengo sioni tofauti kubwa kati ya LA carlifonia na Dubai (nimekaa mdarefu both dubai, La ans Las Vegas)
Mnafanyaje wengine kufika huko,mtusaidie jmnMkuu usilazimishe ku argue na kutafuta picha dhaifu kuidunisha New York. Namshukuru Mungu kuwa nimefika kote, Dubai ni mji wa kisasa zaidi kuliko New York (kwa upande wa majengo). Ili New York ni jiji la ajabu mno ambalo si rahisi kuelezea kwa maneno.
Duu hongera sana,Wengine sijui mnafanyaje kufikia huko,,,Yaani hiyo statement ya " nimekaa muda mrefu ughaubuni",hunivutia sana nauliza wenzangu wanafanyaje?
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Nia Ipo mkuu ila kwa kuanzia sasa,ukitafuta scholarship chenga ,Ukiwaza box njia zimeblokiwa yaaniWeka nia, uwezo wa mwanadamu ni mkubwa sana
Dini, tenanUislqm ndio umewapa akili. Sasa wewe kama hutaki baki na ujanja wako wa kujazwa ujinga.HAWA NDO WALITULETEA DINI MKUU, HUKU HATA KUPELEKA WATOTO SHULE MAAMUMA WANAONA NI DHAMBI
Newyork ni habari nyingine tupende tusipende.Mkuu usilazimishe ku argue na kutafuta picha dhaifu kuidunisha New York. Namshukuru Mungu kuwa nimefika kote, Dubai ni mji wa kisasa zaidi kuliko New York (kwa upande wa majengo). Ili New York ni jiji la ajabu mno ambalo si rahisi kuelezea kwa maneno.
Mama kafungua nchi tayari subiriJamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
View attachment 2494991View attachment 2494992View attachment 2494993View attachment 2494994View attachment 2494995View attachment 2494997View attachment 2494998View attachment 2494999View attachment 2495000View attachment 2495001View attachment 2495002View attachment 2495004View attachment 2495005View attachment 2495006
Na hawana mgawo wa umeme wala shida ya maji, na nchi ilikua jangwa.Jamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.
View attachment 2494991View attachment 2494992View attachment 2494993View attachment 2494994View attachment 2494995View attachment 2494997View attachment 2494998View attachment 2494999View attachment 2495000View attachment 2495001View attachment 2495002View attachment 2495004View attachment 2495005View attachment 2495006
Senior securityMungu alimpunja akili mtu mweusi.
Anayebisha aje tubishane kwa hoja
Hujui kuwa uarabuni wafanyakazi wa ndani, waosha magari na mpaka wajenzi asilimia kubwa ni Wahindi, Wanepal, Wapakistan n.k.Senior security
Wanaoijenga Dubai ni Wachina na waKorea ya Kusini na waHindi na waNepal
Waarabu hata kubeba tofali hawawezi
Sio kweli, Tanzania ilikuwa imeiacha mbali dubaiDubai inatisha,mwarabu akiletewa michoro mizuuri na mchina namna mji uwe yeye anamwaga hela tu.
hivi ni kweli miaka ya 60's Tanzania ilikua sawa kiuchumi na Dubai?.