Hii ndiyo Dubai bwana

Hii ndiyo Dubai bwana

Hujazungumzia watoto wa kiarabu, ili akili iliseti kuwa kweli upo huko.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Watoto wa kiarabu wenye uraia wa UAE huwezi kukutana nao hovyo. Makahaba wa kutoka nchi zingine ni wengi sana. Nilikutana na jimama la kikenya mchana linauza kwa dirham 50. Kama Tsh 30k tu.
 
Wewe umefika DUBAI kweli haya ni maelezo fasaha kabisa. Ila SHARJAH huwezi kuilinganisha na Dar ni nzuri sana,sijajua umelinganisha sehemu ipi? kama ni Industrial areas sawa. Kwangu mimi sehemu unayoweza kuilinganisha na Dar ni AJMAN.
Hata DEIRA ina mitaa mizuri kuliko Dar, jaribu kuiwazia BANIYAS na UNION ni ya moto mno.
Nitakuwa nimechanganya. Ila kuna sehemu nilienda wanauza computer used palikuwa pachafu. Deira iko juu mno kwa Dar. Dar bado ni ushenzini.
 
Kaka na wewe upo ustaadhi nikusalimie!l kiarabu Aslaam aleykuum[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au nikusalimie kibantu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!!
Mkuu mbona unapenda kujichekesha kama gasho hivi!

Mwanaume kujichetua haileti picha nzuri mkuu.
 
Mkuu usilazimishe ku argue na kutafuta picha dhaifu kuidunisha New York. Namshukuru Mungu kuwa nimefika kote, Dubai ni mji wa kisasa zaidi kuliko New York (kwa upande wa majengo). Ili New York ni jiji la ajabu mno ambalo si rahisi kuelezea kwa maneno.
Mnafanyaje wengine kufika huko,mtusaidie jmn

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Dubai
8977446877_e0cde9dc28_b.jpg
 
HAWA NDO WALITULETEA DINI MKUU, HUKU HATA KUPELEKA WATOTO SHULE MAAMUMA WANAONA NI DHAMBI
Dini, tenanUislqm ndio umewapa akili. Sasa wewe kama hutaki baki na ujanja wako wa kujazwa ujinga.
 
Mkuu usilazimishe ku argue na kutafuta picha dhaifu kuidunisha New York. Namshukuru Mungu kuwa nimefika kote, Dubai ni mji wa kisasa zaidi kuliko New York (kwa upande wa majengo). Ili New York ni jiji la ajabu mno ambalo si rahisi kuelezea kwa maneno.
Newyork ni habari nyingine tupende tusipende.
Kwasasa we can't compare Newyork with any city in this world.
Kuanzia uchumi, technology, health care,culture.
NYC is more vibrant.
 
Na hawana mgawo wa umeme wala shida ya maji, na nchi ilikua jangwa.
KUMBUKA: Na hivi punde watakua na mbuga ya wanyama yenye wanyama karibu wote mlionao Serengeti au Ngorongoro. Na nyie ndio mliowauzia mtabaki kuendelea na mgawo wenu wa umeme teehteehteeh.
 


Ndo hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom