Hii ndiyo Elimu Bure: Wazazi wajitolea kujenga shule kupunguza adha ya elimu na kuwalipa ujira mdogo walimu wa kujitolea

Hii ndiyo Elimu Bure: Wazazi wajitolea kujenga shule kupunguza adha ya elimu na kuwalipa ujira mdogo walimu wa kujitolea

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,767
Reaction score
288,340
Hapa ni kitongoji Cha Mtakuja (Mwambiki) kilichopo kijiji cha Ihowanja, kata ya Kilosa Mpepo, Jimbo la Malinyi. Shule hii haijasajiliwa, kuna wanafunzi 482, ilijengwa na wazazi kupunguza adha ya elimu kwa watoto wao, walimu wa kujitolea kwa ujira kidogo unaotoka kwa wazazi.

Shule.JPG
Shule2.JPG
 
Kwa hiyo shule ikijengwa itakua ni maendeleo ya vitu au watu maana naona mmekosa Sera mnadandia dandia tu mambo. Kama serikali haijatia mkono na shule haijasajiliwa povu lanini?
 
Hilo jimbo sio la wapinzani?
Manake nimesikia mara kadhaa kwamba wapinzani wanaiyumbisha serikali kufanya mambo ya maendeleo majimboni
 
Una ushahidi wa kuthibitisha hilo? Hebu tuwekee huo ushahidi wa hicho ulichokisikia.
Hilo jimbo sio la wapinzani?
Manake nimesikia mara kadhaa kwamba wapinzani wanaiyumbisha serikali kufanya mambo ya mawndeleo majimboni
 
Mwangalieni huyu naye! Hivi shule ambayo watoto wanaelimika si Maendeleo ya watu!? 😳😳😳
Kwahiyo shule ikijengwa itakua ni maendeleo ya vitu au watu maana naona mmekosa Sera mnadandia dandia tu mambo. Kama serikali haijatia mkono na shule haijasajiliwa povu lanini?
 
Si mmesema shule zisijengwe kwa sababu ni maendeleo ya vitu?
 
Mwangalieni huyu naye! Hivi shule ambayo watoto wanaelimika si Maendeleo ya watu!? 😳😳😳

Kwahiyo barabara ambayo watu wanapita na kuitumia kwenye shughuli za maendeleo ni maendeleo ya vitu!!!
 
Kumbe kuna mambo ya ajabu nchii eeee; si tunaambiwa sisi ni matajiri tutembee vifia mbele aisee!!

Inasikitisha sana!!
 
Unajengaje flyovers wakati barabara za chini bado zina matatizo makubwa? Mfano mvua za jana Dar barabara za chini zimefungwa nyingi hizo flyovers zilisaidia kitu gani katika usafiri wa jiji?

Kwahiyo barabara ambayo watu wanapita na kuitumia kwenye shughuli za maendeleo ni maendeleo ya vitu!!!
 
Halafu kuna majitu eti tunatekeleza na mavi ya eti midege, sgr na utyopolo mwingine.
 
Dhana yamaendeleo ya watu CCM wameshindwa kuielewa sijajua ni akili ndogo au kujitoa ufahamu
Mwangalieni huyu naye! Hivi shule ambayo watoto wanaelimika si Maendeleo ya watu!? 😳😳😳
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Unajengaje flyovers wakati barabara za chini bado zina matatizo makubwa? Mfano mvua za jana Dar barabara za chini zimefungwa nyingi hizo flyovers zilisaidia kitu gani katika usafiri wa jiji?

Uliambiwa flyover ni kwaajili ya kuondoa kero ya mafuriko au foreni kwenye njia panda? Wakati mwingine mtumie ubongo wenu sio akili za mbowe tu kila sehemu.
 
😂😂😂😂mwangalieni huyu naye! Unagharimia vipi billions za flyovers wakati barabara za chini zina hali mbaya? Kama ndiyo hivyo basi jana usafiri wa Dar usingeathirika kiasi kile.

Imarisha kwanza miundo mbinu ya barabara za chini ili iwe imara wakati wote hata masika kabla ya kurukia flyovers.
Uliambiwa flyover ni kwaajili ya kuondoa kero ya mafuriko au foreni kwenye njia panda? Wakati mwingine mtumie ubongo wenu sio akili za mbowe tu kila sehemu.
 
Picha zenu za kuokoteza na kuleta humu,

Hao hao mnapinga barabara zisijengwe, jiulize huduma zitafikaje huko bila miundombinu? Hiyo shule unalalamika haijasajiliwa kwani imekidhi vigezo? Yaani madarasa ya namna ile unataka serikali iisajili Kama shule ya serikali?

Wapinzani jifunzeni kuwa;

Watu wanaongezeka Tanzania, vijiji vinapanuka, huduma Kama barabara, shule, zahanati / hospitali, umeme, maji, zinahitajika Sana, na serikali inafanya kwa vitendo, haziwezi kutosheleza kwa mda mmoja.

Mnadhihaki kujengwa zahanati na kusema kuwa Ni majengo tu, hivi mlitaka madaktari na wauguzi wapelekwe hata kabla ya majengo kumalizika?

Hamna jipya: MAGUFULI Mi5 TeeeNA
 
..halafu Magufuli anajisifia kwa kununua midege toka kwa mabeberu kwa fedha taslimu huku watoto wa Kitanzania wanasoma kwa tabu namna hii.

..Magufuli ni msaliti, kibaraka wa mabeberu, na fisadi, ndiyo maana amenunua midege ambayo watanzania hawaihitaji na hawajamtuma ainunue.
 
Back
Top Bottom