MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF?
Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa.
Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani.
Imenifanya nijiulize kama huyu yuko JF kweli Maza wangu atakosa kweli?
Tupo kitaa kwetu nilirudi kwa ajili ya harusi,
Sasa ile asubuhi tunapiga story na kina maza wadogo na wakubwa laptop ya Maza mkubwa ikanivutia nkasema ngoja niicheki ntoe ushamba.
Duuh sasa kuicheki kwenye browser hivi nakuta alikuwa Jamiiforums na Jina lake lina Display.
Pozi liliisha, nikaja kujua humu ndani kumejaa maajuza aisee.
Ila wanajitoaga ufahamu tu.
haha hulijui hilo

Na vikongwe tumo! Hahaha! tukutanishe.
Shauri yako amekuona uko kumsema...
Sikuwahi kutegemea mtu kama yeye anaweza kuvaa sura nyingine.
Kilichonishangaza Zaidi nliingia PM aisee nkakuta mavijana yanatuma ujumbe kana kwamba mwenzao vile.
I just hope maza yangu hayupo humu.
Kwasababu kuna mtu member nshaanza kumhisi humu.
Mimi Baba yako mdogo nina umri wa miaka 51 unasemaje mkuu MALCOM LUMUMBA
Sasa hivi naanzisha Kampeni inaitwa #TAJAUMRIWAKO ili tusiwe na matatizo tuwajue Maajuza wote wa humu ili tusiwe tunavunjiana heshima
Mimi Baba yako mdogo nina umri wa miaka 51 unasemaje mkuu MALCOM LUMUMBA
Mie mama angu ni member Jf na jukwaa lake ni kule siasani
Umeambiwa utaje umri wako ili upewe heshima yako.jamiiforums.com/?ref=165529
funguen hyo link kupiga hela kirahisi
forward kwenye magroup mengine ya whats app,kwenye twitter na facebook pia
jamiiforums.com/?ref=165529
funguen hyo link kupiga hela kirahisi
forward kwenye magroup mengine ya whats app,kwenye twitter na facebook pia
​#tajaumriwakoshauri yako amekuona uko kumsema...