Hii ndiyo JamiiForums!!

Hii ndiyo JamiiForums!!

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF?
Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa.
Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani.
Imenifanya nijiulize kama huyu yuko JF kweli Maza wangu atakosa kweli?

Tupo kitaa kwetu nilirudi kwa ajili ya harusi,
Sasa ile asubuhi tunapiga story na kina maza wadogo na wakubwa laptop ya Maza mkubwa ikanivutia nkasema ngoja niicheki ntoe ushamba.

Duuh sasa kuicheki kwenye browser hivi nakuta alikuwa Jamiiforums na Jina lake lina Display.
Pozi liliisha, nikaja kujua humu ndani kumejaa maajuza aisee.
Ila wanajitoaga ufahamu tu.

Shauri yako amekuona uko kumsema...
 
Na mm ndio mjomba na nilikuona ukikagua laptop
 
haha hulijui hilo

Sikuwahi kutegemea mtu kama yeye anaweza kuvaa sura nyingine.
Kilichonishangaza Zaidi nliingia PM aisee nkakuta mavijana yanatuma ujumbe kana kwamba mwenzao vile.

I just hope maza yangu hayupo humu.
Kwasababu kuna mtu member nshaanza kumhisi humu.
 
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF?
Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa.
Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani.
Imenifanya nijiulize kama huyu yuko JF kweli Maza wangu atakosa kweli?

Tupo kitaa kwetu nilirudi kwa ajili ya harusi,
Sasa ile asubuhi tunapiga story na kina maza wadogo na wakubwa laptop ya Maza mkubwa ikanivutia nkasema ngoja niicheki ntoe ushamba.

Duuh sasa kuicheki kwenye browser hivi nakuta alikuwa Jamiiforums na Jina lake lina Display.
Pozi liliisha, nikaja kujua humu ndani kumejaa maajuza aisee.
Ila wanajitoaga ufahamu tu.

Na vikongwe tumo! Hahaha! tukutanishe.
 
Sikuwahi kutegemea mtu kama yeye anaweza kuvaa sura nyingine.
Kilichonishangaza Zaidi nliingia PM aisee nkakuta mavijana yanatuma ujumbe kana kwamba mwenzao vile.

I just hope maza yangu hayupo humu.
Kwasababu kuna mtu member nshaanza kumhisi humu.

du...hapo kwenye PM ulimbwanda.,ungekausha tu!...
...em niPM id yake nianze kumsebenza!
 
Mie mama angu ni member Jf na jukwaa lake ni kule siasani

Sasa mama si nimesema unaanza na Comment then unataja umri wako ili kama wewe ni kikongwe sisi vijana tujiweke pembeni mapema.

Haya taja umri wako.

#TAJAUMRIWAKO ndiyo mpango mjini.
 
jamiiforums.com/?ref=165529

funguen hyo link kupiga hela kirahisi

forward kwenye magroup mengine ya whats app,kwenye twitter na facebook pia
 
Umeambiwa utaje umri wako ili upewe heshima yako.
 
Back
Top Bottom