Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

Sina chuki huo ndio ukweli diamond ni fukara tu kama mafukara mengine. Drug addict for that fucking matter...una convoy ya gari 5 unajiita tajiri..fools.
Ni tajiri mno as per his background, the dude is from the Tandale ghetto so being where he is now damn....! Even owning just a mere Prado is being a fvcking rich motherfvcker. So yeah kwa alipo na alipotoka ni tajiri sana tu.
 
Hakuna lolote fukara tu huyo bwana ako...konvoy gari 5 unajiita tajiri,magar yenyewe skrepa tu manina zenu ..akamtembelee angalau lugumi nyumbani kwake ...mafukara wanamshangilia fukara mwenzao.
 
wanachofanya wao ni kulazimisha, mana mantain ni ile hali ambayo unamuda bila ya shida, wao hua wanatumia nguvu nyingi sana
Analazimisha vipi?! Diamond ameenda Nairobi kupiga show, na kwa maana nyingine msafara wake utakuwa na dancers, DJ, na hata bodyguards wake! Kwahiyo ulitarajia hao wengine wapande daladala, au?! Au ulitarajia wakodi tu coaster kisha waende nayo airport?! Wabongo mna maajabu sana. Yaani mtu kusafiri na watu wake kwa kutumia gari zake ndo analazimisha?!
 
Miezi mitatu uliyopita ulikuwa unalilia upate hata pesa za majini ili ndugu zako ambao nao ni maskini waache kukudharau
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Napiga kazi mzee nyingine nikikuambia najua hujawai fanya, ila niko pale pale ,,hatua za kimaisha kama za mlevi..sasa ndio nini?
Hapa Cadillac Escalade unazifananisha na IST wakati kuna kila dalili hata Vitz ya 2009 HUNA!!
Hizo gari ni kama IST tu kwa wenye hela..huyo fukara hana hera. Atembee aoneshwe wenye hela.
Sasa ukisikia "HATERS" wewe ndo mwakilishi sahihi wa Haters manake haters huwa wanaponda vitu ambavyo hata kwenye ndoto hawavioti kwa sababu vipo mbali sana na upeo wa hata ndoto zao wenyewe!
 
Mimi nipo nasoma tu maneno ya matajiri wa JF, kuna wengine humu hata ukoo wetu ujipange wote hatufikishi gari tano sana sana itakuja stout ya mwaka 80🐼
 
Miezi mitatu uliyopita ulikuwa unalilia upate hata pesa za majini ili ndugu zako ambao nao ni maskini waache kukudharau

Hapa Cadillac Escalade unazifananisha na IST wakati kuna kila dalili hata Vitz ya 2009 HUNA!!

Sasa ukisikia "HATERS" wewe ndo mwakilishi sahihi wa Haters manake haters huwa wanaponda vitu ambavyo hata kwenye ndoto hawavioti kwa sababu vipo mbali sana na upeo wa hata ndoto zao wenyewe!
nakazia kua ni fukara tu nasib ni fukara tu. Kunywa sumu ufe sibadilishi maneno. Atembeee aoneshwe wenye hela..bloodful.
 
Back
Top Bottom