H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 562 Jan 26, 2010 #61 Mambo yanaenda yakiongezeka, inakuwaje majina ya waanzilishi yanafichwa? Je ni watuhumiwa nagapi wa ufisadi wamo kwenye hio listi? Haya ndio maswali yangu
Mambo yanaenda yakiongezeka, inakuwaje majina ya waanzilishi yanafichwa? Je ni watuhumiwa nagapi wa ufisadi wamo kwenye hio listi? Haya ndio maswali yangu
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jan 26, 2010 #62 Gender Sensitiv said: Mwanakijiji. Nahisi kama unahisa na chama hiki.Umepata wapi Katiba yao mapema Hivyo? Click to expand... huyu sijui na Mwandishi wa habari maalumu or personal Investigator or ? keep it up mwanakijij kazi yako iko fit
Gender Sensitiv said: Mwanakijiji. Nahisi kama unahisa na chama hiki.Umepata wapi Katiba yao mapema Hivyo? Click to expand... huyu sijui na Mwandishi wa habari maalumu or personal Investigator or ? keep it up mwanakijij kazi yako iko fit