Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 335
Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo, alisema Dk. Kawambwa.
Mwisho wa kunukuu
Hapo ndiyo amesikitika mpaka basi, na wala hausiki wa hali iliyotokea. Upo uwezekano wakati anatoa kauli hiyo watu walipiga makofi sana tu.Bado tutaliwa kweli kweli.
Mwisho wa kunukuu
Hapo ndiyo amesikitika mpaka basi, na wala hausiki wa hali iliyotokea. Upo uwezekano wakati anatoa kauli hiyo watu walipiga makofi sana tu.Bado tutaliwa kweli kweli.