Hii ndiyo list ya international Collabo za Alikiba

Hii ndiyo list ya international Collabo za Alikiba

😂😂😂😂😂😂 hapo kolabo za kusadikika ni mbili Kiba na Bella na Saut soul na Kiba... Ambayo inaweza kutokea ni ya Davido na Kiba.... Hizo nyingine ni uwongo....... Mnampa kiba stress mwenzen ni newcomer muachen afanye kazi za underground then akikua ndo mtaskia collabo hizo mlizo zitaja.....
 
Back
Top Bottom