Hii ndiyo maana ya matatizo

Hii ndiyo maana ya matatizo

Francis Mawere

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
958
Reaction score
831
SWALI: Nini maana ya matatizo..?

JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya Tu
Mara ghafla chombo kikagoma kuwaka.!
[HASHTAG]#mtokambali[/HASHTAG]
 
Hayo si matatizo bali ni majanga ya asili yasiyoepukika.Ikitokea hivyo bora uanze kumwamkia tu
 
Back
Top Bottom