Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Feki aje?Sawa panjoro fake! Basi mwambie na Ponjoro origino kuwa sasa mpo wa wili. Sawsa ponjo?
Huyo dogo hata ilo neno kalisikia leo na yeye kajiweka parody kumbe lipo kipindi cha miaka ya nyerere.Sio kwamba ponjoro ni racial slur?
Utashitakiwa kwa kutumia jina la mtu aitwaye Ponjoro wa KinondoniKwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.
Hati miliki za watu hizoUtashitakiwa kwa kutumia jina la mtu aitwaye Ponjoro wa Kinondoni
Kwahiyo wale kuku waitwao chotara, twaweza waita Ponjoro pia?Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.
NaamKwahiyo wale kuku waitwao chotara, twaweza waita Ponjoro pia?
Siyo kweli. Maana ya "Ponjoro" siyo "shombe au Chotara".Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.
Wewe unaweza kuwa "Ponjoro" halisi, siyo huyo mwingine!Karibu jf rafiki
Gabachori = Ponjoro; sawasawa kabisa.Sio kwamba Gabachori na ponjoro ni racial slurs?
Acha keleleSiyo kweli. Maana ya "Ponjoro" siyo "shombe au Chotara".
Ponjoro ni watu wa asili ya India, wahindi.
Unatueleza habari za "usomi wa vyuo mbalimbali" bila kuvitaja hivyo vyuo; lengo la taarifa hiyo ni nini wakati haihusiani chochote na maudhui ya mada yako. Maneno machache tu hapa yanaonyesha usomi feki unaojidai nao.
Umesikia wapi kelele, kama siyo uchizi tu wa kuleweshwa na bangi unaokusumbua wewe!Acha kelele