Hii ndiyo maana ya neno Ponjoro

Sio kwamba Gabachori na ponjoro ni racial slurs?
Yes, ni racial slurs. Ni kama kule ughaibuni kumwita mtu mweusi ni&&er. Inasikitisha kwamba watu wanashangilia tu bila kupima madhara yake kwenye jamii.
 
Yule wa Kizimkazi naye pia ni Ponjoro au?
 
Ponjoro tulikubaliana kamari ni dhambi! Acha kuendekeza kamari, na pia acha ubaguzi wa kuwapendelea watoto wa ma Ponjoro wenzako.
 
Duh!..
 
Unaweza kuwa na elimu stadi, na ukawa mjinga kabisa, reason, "Elimu yetu ni ya kukariri na baadae unapewa mitihani ujibu yale uliyokariri"""
 
Maana yake ni jitu linalojichubua yaani kama Nyoshi El sadati, mkorogo wa kutoka Congo
 
Yes, ni racial slurs. Ni kama kule ughaibuni kumwita mtu mweusi ni&&er. Inasikitisha kwamba watu wanashangilia tu bila kupima madhara yake kwenye jamii.
Abas Tarimba wakati anamwanza uchokozi Gwajima alishangiliwa Bungeni acha na yeye ajutie ushetani wake wa kutetea utekaji watu
 
Hivi RPC Mponjoli Mwabulambo bado yupo ofisini kweli?


 
Abas Tarimba ni Mwarabu koko lakini pia hupiga Mkorogo mwingi tu , acha jina lipya limpe fundisho aache kutetea utekaji na mauaji
 
Wauluze ccm kwani ndiyo wamiliki wa Polisiccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…