Mkuu umeanza lini kufuatilia mpira. Maana sio kwa utopolo huo unaojadili hapo.
Pamba amefuzu mpaka hatua hiyo ya Azam CC na lazima akutane na klabu iliyofikia hatua hiyo pia.
Mfano... kumbuka mechi ya jana kule Lake Tanganyika chura alipokoswakoswa kupapaswa na Ruvu. Ilitokea mwaka 2021 katika historia kuna timu ya mitetemo ya chura ilifikia hatua ya fainali kwa Azam CC ikakutana na Mnyama mkali, chura ikageuzwa na kuchomolewa mwiko na kisha kushindiliwa kimoja pale mganda alipoingiza kichwa pekee. Halafu unaleta masihara ya Pamba na Pirates hapa.