Leo takwimu ni mechi ngapi yanga imebebwa? Halafu uweke na mechi ambazo simba imebebwa ili tuweke kwenye mizania. Siyo unaropoka tuNafikiri watu wanaibeba hii timu ili isifungwe msimu huu. Si mechi ya leo tu bali kuna mechi nyingi tu huko nyuma timu inacheza huku ikibebwa na marefa. Hii ni mbaya sana kwa nchi yetu kwani Yanga ikituwakilisha kwenye mashindano ya kimataifa hawatafika mbali kwa sababu hawawezi mashindano ya kimataifa hata kidogo.
Timu yako haijaweka fixtures za huu mwezi?Mwenye ratiba ya NBC premier league aweke hapa tafadhati
Mtapigwa nje ndani mkifika makundi habari yenu kwishaNafikiri watu wanaibeba hii timu ili isifungwe msimu huu. Si mechi ya leo tu bali kuna mechi nyingi tu huko nyuma timu inacheza huku ikibebwa na marefa. Hii ni mbaya sana kwa nchi yetu kwani Yanga ikituwakilisha kwenye mashindano ya kimataifa hawatafika mbali kwa sababu hawawezi mashindano ya kimataifa hata kidogo.
Mtasema yote mwaka huuUto ni gwambina iliochangamka
Kalenda ya kombe la azam inasema hivyo au unadhani vipi bwana uto wa kimatifaNyie ni wa kucheza na Pamba? [emoji23][emoji23] Dunia kigeu geu
Hata kama ndio mcheze na Pamba? All the way from Orlando Pirates to wanakabakayeka?[emoji19][emoji19]Kalenda ya kombe la azam inasema hivyo au unadhani vipi bwana uto wa kimatifa
Utaje na mechi tulizonyimwa ushindi pia mfano ile ya Mbeya cityNafikiri watu wanaibeba hii timu ili isifungwe msimu huu. Si mechi ya leo tu bali kuna mechi nyingi tu huko nyuma timu inacheza huku ikibebwa na marefa. Hii ni mbaya sana kwa nchi yetu kwani Yanga ikituwakilisha kwenye mashindano ya kimataifa hawatafika mbali kwa sababu hawawezi mashindano ya kimataifa hata kidogo.
Hakika JKT Ruvu wao walikuwa wanacheza Lupaso kwa Mkapa wilayani Temeke jiji la Dar na Yanga mlikuwa Ziwa Tanganyika Kigoma😂☝️Uchovu plus uwanja mmbovu. All in all that is footbal haiwezekani ushinde mechi zote
Mkuu umeanza lini kufuatilia mpira. Maana sio kwa utopolo huo unaojadili hapo.Hata kama ndio mcheze na Pamba? All the way from Orlando Pirates to wanakabakayeka?[emoji19][emoji19]
Kichwa tu , chaliiiiii!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu umeanza lini kufuatilia mpira. Maana sio kwa utopolo huo unaojadili hapo.
Pamba amefuzu mpaka hatua hiyo ya Azam CC na lazima akutane na klabu iliyofikia hatua hiyo pia.
Mfano... kumbuka mechi ya jana kule Lake Tanganyika chura alipokoswakoswa kupapaswa na Ruvu. Ilitokea mwaka 2021 katika historia kuna timu ya mitetemo ya chura ilifikia hatua ya fainali kwa Azam CC ikakutana na Mnyama mkali, chura ikageuzwa na kuchomolewa mwiko na kisha kushindiliwa kimoja pale mganda alipoingiza kichwa pekee. Halafu unaleta masihara ya Pamba na Pirates hapa.
na mikia vipi,Uto ni gwambina iliochangamka
hahaa,unawasubiri kwa hamuMnacheza lini nusu final?
Baba laona mikia vipi,
Wa kwenu mzima uko wapi?hauna hata kiwanja cha kuchezea chengesha bwege unaita vya wenzio vibovu...Uchovu plus uwanja mmbovu. All in all that is footbal haiwezekani ushinde mechi zote