Pia, nilikwenda kwenye kampuni ambaye mkurugenzi wake ni mkenya. Kwanza attention aliyonipa huyo jamaa ilinitia moyo sana. Nilipokuwa namwelezea program yangu, jamaa alikuwa anathubutu mpaka kuchangia ideas zake (wabongo hawakufanya hivyo) ni vipi kampuni yake inavyoweza ku-shoot hii documentary kwa ufanisi wa hali ya juu. Jamaa akahidi kukutana na timu yake kesho yake, halafu tungeonana naye keshokutwa yake kwa majadiliano zaidi. Kesho yake asubuhi na mapema, mshikaji akanitumia sms kuniambia kuwa amepitia tena maelezo niliyompatia na kwamba amepata ideas nyingine mzuri za kuongezea. Na pia hakanihakikishia kuwa vifaa na uwezo wa ku-produce program yangu anavyo vya kutosha. Hakuishia hapo ! jioni yake akanipigia simu na kuniambia kuwa ameshajadili na timu yake, na kwamba tuonane siku inayofuatia saa 5 asubuhi kwa mazungumzo zaidi. Kwenye appointment yetu ya siku iliyofuatia, sio tu alizidi kunihakikishia kuwa anaweza kazi, bali pia alinionesha baadhi ya documentary walizowahi ku-shoot, na akaenda mbali zaidi kwa kunionesha vifaa vyote vya production alivyonavyo.
Chagua langu likawa rahisi !!!!
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Wabongo wenzangu !
Mchawi wetu ni nani – Wakenya au Sisi wenyewe?
Yaani mtu unapeleka kazi kwenye haya makampuni, lakini wao wanataka uwafukuzie kana kwamba unaenda kuomba kazi au msaada ! Kha gademu!![/QUOTE]
Nasukuru mkubwa kwa kuliona hilo.
Nduguyo nilipatwa na mkasa kama huo ktk kampuni moja ya IT ambayo mkurugenzi ni Mkenya na Sales Executive ni mbongo ,Huyo SE jamaa alinizungusha mpaka nikachoka kila nikwambia anipe cost analysis ya huduma yao ye ananituma vitu hata havieleweki,baada kama ya wiki 3 hivi nikapata reference toka kwa best yangu wa karibu kwamba yule msela ndo alivyo tabia yake mpaka umpe uhakika wa yeye kuishi kwanza. Nilichokifanya ni kuingia ktk web yao na kukuta hadi number za simu za MD wake ambaye ni Mkenya, nilimwandikia email tu jamaa akaja hewani(kapiga simu) nikamweleza ninachotaka akanielewa sasa akamuassign yule mbongo kazi yangu nilichokifanay ni kumforwardia all emails alizonitumia huyo mbongo haraka sana ili tusipoteze muda tena. Kifuatacho ITV jamaa kanimind kwanini nimetaka kumwaribia kibarua chake, me nikampa jibu moja tu BE PROFESSIONAL!
Sasa wajaameni kuna mchawi hapa,au ndo Mswahili akipata...?????????