Hii ndiyo nchi (Kenya) inayotaka kusaini EPA!

Hii ndiyo nchi (Kenya) inayotaka kusaini EPA!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kama tu Uchina tayari kuna trade imbalance kubwa, halafu hapo hapo mnataka kusaini free trade agreement with the World's reachest, technologically advanced trading block EU!

Viongozi wa Kenya wana matatizo siyo bure!

Hii Katuni inaongea kila kitu nimeiona kwenye Gazeti la Kenya!

CART-11-7-2016.jpg

tafuta kazi ya kufanya...Kwa hio tuogope kufanya biashara kisa wametuzidi.Jipe shughuli
 
Look for something to do.Napita tuuu

Huyu mleta mada ni wa kupuuzwa, ukisoma hata mada zake kule kwa nyuzi za siasa za Tanzania, huwa Watanzania wanamshambulia sana. Hukurupuka vivi hivi tu, yeye ndiye mfano wa kwanini Afrika tunaonekana kuwa na laana fulani.
Kamwe hatutaogopa ushindani, tutajitutumua humo humo tu.
 
Back
Top Bottom