Hii Ndiyo Nyumba Ya Milioni 100 Ya Madee Wa TIP TOP

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee mwenyewe amesema nyumba hii imechukua kama miaka 5 mpaka kuimaliza.
Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya vyumba 4 Dinning na Sitting Room kuhusu Gharama kamili ya mjengo huu Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa haraka haraka amedai ni kama Milion 100 za Kitanzania.










Source: Millard Ayo
 
Good for him kama kweli inafika thamani hiyo...

Kumbe mchiriku unalipa eeh?!
 
safi. siyo kila siku tunaskia tu msannii fulani katolewa vyombo nje mara sijui nn!!!
 
Hata ingekuwa mil 5 good for him sio akina naniliu kila siku wanapost msingi tu...

Almasi Mkali wa "Vipwapwiso"..???!!.nimeipata kutoka kwa warumi hehee...😉

Hongera Madee hapo sawa.. :thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Almasi Mkali wa "Vipwapwiso"..???!!.nimeipata kutoka kwa warumi hehee...😉

Hongera Madee hapo sawa.. :thumbup:

Sasa hyo nyumba kajenga yeye au bosi wake bab tale ?? Japokuwa alisema alimkabidh kutokana na kaz zake alizozifanya so ana deserve hongera kwa kaz nzur mpka kapewa nyumba
 
Last edited by a moderator:
Reactions: prs
anastahili pongezi kubwa sana.!
 
hivi yule naniliu mwenye mdomo ka bakuli ya kwake imeishia wapi?
 
Hongera...sasa unaitwa baba mwenye nyumba....
 
Iyo nyumba haifiki mil 100...labda kama materials aliagiza mbele.
 
Welldone my brother Angalau wewe ujawekeza bar.Zidi kusonga mbele umiliki hata hotel au club na mirad mengine tofauti tofauti ndani ya nnchi yako ya mazense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…