Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee mwenyewe amesema nyumba hii imechukua kama miaka 5 mpaka kuimaliza.
Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya vyumba 4 Dinning na Sitting Room kuhusu Gharama kamili ya mjengo huu Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa haraka haraka amedai ni kama Milion 100 za Kitanzania.
Source: Millard Ayo






