Hii Ndiyo Nyumba Ya Milioni 100 Ya Madee Wa TIP TOP

Haya ni matusii makubwaa sanaa cc warumi

Aaah aah jaman watu wachokoz muachen bhana , angekuwa kajala apa ndo kadanganya kama wema angepata vichambo vya haja , ila kwa kuwa wema watu wameipotezea , yaan watu wabayaa
 
Last edited by a moderator:
Aaah aah jaman watu wachokoz muachen bhana , angekuwa kajala apa ndo kadanganya kama wema angepata vichambo vya haja , ila kwa kuwa wema watu wameipotezea , yaan watu wabayaa

Yaan achaaa hahhhhahhha lakin sie tunampa tuu nyooo milion Nne my ass angekua ana nyota angekua ana maendeleo lakin yapo wapiii
 
Yaan achaaa hahhhhahhha lakin sie tunampa tuu nyooo milion Nne my ass angekua ana nyota angekua ana maendeleo lakin yapo wapiii

Kama ana nyota bhas yake nyeusi , johari mwenyewe tu hamfikii kimaisha , maana nikimfananisha na akina jide nitamuonea maana maisha ya jide atabak kuyaota tu
 
Kuna wale kila siku nyumba inajengwa swimming pool
 
Mil 100 kitu gani? Watu tumeona nyumba ya madam sepetunga ya mil 400??

Hahhhhahhhha maajabuu tena kila baada ya wikii inapakwa rangi na kukarabatiwaa
Hiv badogo anakarabatii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…