muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Safi kijana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi yule naniliu mwenye mdomo ka bakuli ya kwake imeishia wapi?
Yake bado anatengeneza swimming la kimataifaaa
Iyo nyumba haifiki mil 100...labda kama materials aliagiza mbele.
Yake bado anatengeneza swimming la kimataifaaa
Ahahahahahaaaa acha uchokozi bana.
Hivi ile swimming au kisimaaa..... Teh me nasubiri aamie maana huu mwaka wapili unaisha
Utafikiri shimo la kumwagia taka taka etiii
Aaah aah jaman watu wachokoz muachen bhana , angekuwa kajala apa ndo kadanganya kama wema angepata vichambo vya haja , ila kwa kuwa wema watu wameipotezea , yaan watu wabayaa
Yaan achaaa hahhhhahhha lakin sie tunampa tuu nyooo milion Nne my ass angekua ana nyota angekua ana maendeleo lakin yapo wapiii
Utafikiri shimo la kumwagia taka taka etiii
Kuna wale kila siku nyumba inajengwa swimming pool
Eee swimiming la kimataifa ndio maana haliishii mapemaa
Mil 100 kitu gani? Watu tumeona nyumba ya madam sepetunga ya mil 400??