Hii Ndiyo Nyumba Ya Milioni 100 Ya Madee Wa TIP TOP

Hii Ndiyo Nyumba Ya Milioni 100 Ya Madee Wa TIP TOP

Hongera kwa ujenzi Tema Mate tumchapeee rosaaaa ila 100m kaka wazijua au unazisikia?
 
Last edited by a moderator:
Wote mnaobisha kwamba haifiki mil 100 nina hakika hamjaanza ujenzi. Mkianza mtakubali aisee. Kwa hapo ilipofikia kuna uwezekano mkubwa kabisa hicho kias ni justifiable kama uki-account for every single penny dedicated to that construction. ..
 
milioni 100 kawai shika WAP?
kweli eee show zenyewe unapewa laki tisa kununua pamba 300,00 kuhonga na club 300,000 fedha ya kula kila siku 250,000 hela ya akiba ya kuweka benki 50,000
utajenga nyumba kama hiyo kweli
 
Hiyo hata 60 haifiki na haitafika hata wakifanya valuation
 
Back
Top Bottom