fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Hata mimi amefanya nizubae japo alishaanza kunipata.........
Maelezo yaliyokuwepo hapo ni kweli yanahusu Bermuda triangle hata uki Google maelezo hayo hayo ndio utakayopewa. Ila kitendo cha kuweka picha isiyohusiana na maelezo anaji disqualify himself na kuenekana ni mtu wa ku copy and paste.
Any way Wacha watu wamshukuru kwa kupost hapa maelezo ya Devil's triangle.