Hata mimi amefanya nizubae japo alishaanza kunipata.........
Hii picha hapa uliyoiweka ni ya kwenye Series inayoitwa Lost
Kwanini unaleta mambo ya kwenye Muvi hapa?
Hii picha hapa uliyoiweka ni ya kwenye Series inayoitwa Lost
Kwanini unaleta mambo ya kwenye Muvi hapa?
Ngoja nimwambie MSAGA SUMU amtafute.Le Mutuz aliwahi kusema alishapita sana Bermuda triangle, anaweza kueleza tena ni nini na hali yake ikoje.
Nimesoma machapisho mengi kuhusu hii dhana lakini nimetoka kapa, ingawa wikipedia inasema suala hilo limeongezwa chumvi sana. Je The Bermuda Triangle,ni kitu gani na kuna ushahidi gani kwamba ina exist? na Je ni kweli ni lango la kuzimu kama baadhi wanavyodai?