NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Mshana atakuja kukupa kwa upande wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni kweli lakini PM yako niliiona muda umeenda sana toka uitume ndo maana nikaahirisha hata kuijibu.Mkuu nimekua nakutumia PM lakini haujibu
Kama kuna uwezekano unisaidie kuijibu mkuuMkuu ni kweli lakini PM yako niliiona muda umeenda sana toka uitume ndo maana nikaahirisha hata kuijibu.
Mkuu bado kwakwel nahitaji uijibuMkuu ni kweli lakini PM yako niliiona muda umeenda sana toka uitume ndo maana nikaahirisha hata kuijibu.
Mkuu wakati naendelea kusema nimesikia sauti inaniambia tatizo ni Hilo hapo juu nililoquote na wakati na scroll down nakutana na hii part hakika Hilo ndilo tatatizo hebu fatilia maana na chimbuko la Hilo jina Bermuda tringle.Jamani hili eneo hadi wameliita pembe tatu ya shetani au mlango wa kuzimu kuna nini hapa panapopelekea hadi meli na ndege kubwa kuzama na zaidi zikizama hazijulikani zinaenda wapi,? Mara hii sehemu tunaambiwa ALIENS wanakaa eneo hili kwaio sababu wao wana teknolojia isiyoweza kushindanishwa na za huku duniani wanasema inawezekana pia kitu chochote kinachopita eneo.hilo kinashindwa kuhimili hio nguvu ya teknolojia yao kwaio inapelekea wao kuzichukua kwa sababu zao au kuzitokomeza
Poa poaMkuu bado kwakwel nahitaji uijibu
Mkuu wakati naendelea kusema nimesikia sauti inaniambia tatizo ni Hilo hapo juu nililoquote na wakati na scroll down nakutana na hii part hakika
Hilo ndilo tatatizo hebu fatilia maana na chimbuko la Hilo jina Bermuda tringle.
Elezea geographical location kwa namna ipi-hakuna lolote zaidi ya geographical position ya hii Bermuda triangle,kuna gravitational force kubwa.dunia nzima ni waanga wa imani za kishirikina
REVEALED: The truth about the mysterious Bermuda Triangle where boats and planes vanishElezea geographical location kwa namna ipi
gravitational force kubwa inatokeaje na kwanini




kitanziniHakuna mbobezi wa masuala haya?
Mkuu ulienda lini kuchunguza-hakuna lolote zaidi ya geographical position ya hii Bermuda triangle,kuna gravitational force kubwa.dunia nzima ni waanga wa imani za kishirikina
Karibu mkuuNitakuja, umenikumbusha kitu muhimu sana.