Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Kabla sijamaliza kusoma

inabidi ukahakikishe mkuu
 

Inasemekani hii ni warmhole yani mlango wakutokea seheme nyingine lakini ni hapa hapa duniani.maana ndege na meli nyingi zilizo potea hapa zimekutwa katika jangwa la GOBI mpakani mwa china..kuna story moja inadai kuna .eli ili reapear yani ilitokea tena baada ya muda mrefu wa kupotea karibu na visiwa flani huko pacific na nahodha wake akashu nakuulizi hapo ni wapi na ni mwaka gani kuambiwa akashtuka na kurudi kwenyemeli lakini baada ya muda ikapotea tena..kuna story hapa chini inaelezea vitu vilivyo patikana jangwa la GOBI ambavyo vilipotea bermuda triangle..

Wreckage of Bermuda Triangle in Gobi Desert




A stunning clue in the mystery of the Bermuda Triangle has been found in a remote desert on the other side of the world.

In the middle of the harsh and uninhabited Gobi Desert, on the border between northern China and southern Mongolia, explorers stumbled upon the wreckage of ships and airplanes known to have disappeared in the Bermuda Triangle.

The discovery has given rise to a new theory about the Triangle and the thousands of vessels that have vanished there.

“It now seems that the Bermuda Triangle and the Gobi Desert are the two ends of a wormhole that runs through the Earth,” says physicist Roland Desmond, of Cambridge University in England.

“A wormhole is a fissure in the fabric of the space-time continuum. Ships and airplanes are swept into the Bermuda end of the wormhole and are transported to the Gobi Desert at the speed of light.

“They give the appearance of vanishing at one end and rematerializing at the other.”

One mystery remains — and it’s a big one. No human remains have been found among the wrecked ships and airplanes.

“Physics has no explanation for the disappearance of these tragic victims,” Desmond says. “Perhaps they are trapped in one of the many dimensions of space and time that make up the wormhole.”

Habari hii imetoka:

Wreckage of Bermuda Triangle in Gobi Desert | Weekly World News
 
Hahhaha haya hamna ajali ..ni statistics.
 
Hapa Tanzania Hatuwezi Kujibu Vitu Kama Hivyo Tunajua Kugoogle Nakuweka Hapa Link
 
Ni kubwa lakini kama nlivokuambia labda wanapita pembeni kufika sehem nyingine zilizopo bermuda na visiwa vingine lakini sio ndani ya ile PEMBE TATU
Ila maajabu ya Bermuda wanasema si lazima ndani ya pembetatu hiyo, hata kwa nje kidogo yanaweza kutokea
 
Labda hapo ndipo yalipo mashukio ya alliens wakati wakijta duniani.
au inawezekana ni mlango wa kuzimu wa ulaya ambapo hutumika kama sehemu ya kutolea sadaka zao
 
Bermuda Triangle, ni moja ya milango mingi kuelekea katika bara la Antartica ambako Aliens wanaishi. Hapo Bermuda triangle huwa panafungjliwa na demons au waweza waita Aliens, au Guardians. Sababu kubwa ya kufungua huo mlango, ni kuchukua watu kwa ajili ya utengenezaji wa hybrids kati ya wanaadamu na aliens. Dunia tunayoishi haijulikani ina umbo gani. Wapo watu wanaoamini kuwa dunia ni flat round disc. Na wengine wanaamini dunia ni duara, na wengine wanaamini dunia ni duara Lakini kuna tundu kubwa katika North pole linalotokezea katika South pole. Na nani ya tundu hilo, kuna jua na nchi kama ilivyo huku sehemu ya huu ya dunia tunayoishi. Huko katika hollow Earth, wanaishi demons ambao huitwa Guardians ndio wanaoendesha UFOs, na ndio wanaozamisha Meli na ndege.
 
Kinacho fanya meli na ndege kupotea sehemu ya bermuda triangle ni mahusiano ya kijiografia na wala meli hizo na ndege hizo hizipotei kila zinapo pita sehemu hiyo hapana, isipokuwa hutokea kipindi fulani, Sehemu hiyo pana shimo kubwa sana kwenda chini ya ardhi kutoka usawa wa ardhi chini ya maji kwa jina la kitaalamu huitwa black hole, shimo hili lilitokea wakati wa kuubwa ardhi ilipopasuliwa kutok kutoka ktk tufe moja mono block rejea the (bingbang) mripuko ulio achanisha ardhi na wingu(earth & sky) na chini kabisa ya shimo hilo kuna volcano, wakati inapo chemka volcano chini hufanya maji ya sehemu ile yazunguuke kwa kasi ya ajabu na kutengeneza mawimbi makubwa yanayozunguuka kwa kasi ya ajabu na kutengenza shimo kubwa sana juu ya maji na sehemu ile hewa huzunguushwa kuanzia usawa wa bahari kupanda juu kwa kasi ya ajabu, twaweza kusema hutengenezwa mlima wa hewa izungayo juu(screed air) kwa kasi kubwa, ktk kipindi hicho kama kutakuwa na meli sehemu ile huzunguushwa na yale maji yazunguukayo kwa kasi na kuzamishwa shimoni , pia ndege hufanywa hivo hivo na hewa ya sehemu ile, na kwa mzunguuko huwo wa maji na hewa nguvu kubwa za uvutano ( magnetic force ) huzalika,
Hilo ndilo ZIMWI la bermuda triangle


 
Duuuh !
 
Dah nashukuru kwa ufafanuzi mkuu..sasa ina mana hilo shimo ni refu sana kwenda chini? Mana hakuna hata meli na ndege zilzomezwa hapo zimepatikana
 
Dah nashukuru kwa ufafanuzi mkuu..sasa ina mana hilo shimo ni refu sana kwenda chini? Mana hakuna hata meli na ndege zilzomezwa hapo zimepatikana

Ndio hilo shimo ni refu sana meli na ndege huingia kwa urahisi wakati huwo maji yanapo zuguushwa kwa mchemko wa volcano chini hutengenezeka shimo kubwa,
Hebu chukuwa ndoo jaza maji halafu chukuwa mti yazunguushe kwa kasi ktikati halfu tizama maji yale hutengeneza umbo gani ktikati

Yanapo tulia maji mle ndani ya shimo hilo huwa giza hakionekani kitu tena giza la nguvu ndio likaitwa the black hole
 
Kwaio ni wakati wote hio hali inakua hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…