GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kwamba......
Kesho Wana Simba SC tunaenda Kuishangilia KMC, Jumamosi tutaishangilia Azam FC na kama kawaida Jumapili tunajishangilia wenyewe ( Simba Sports Club ) pale Taifa na wale wa Botswana Mwenyezi Mungu atawapigania na ikiwezekana wajishangilie wenyewe.
Isambaze taarifa kwa kila mwana Simba SC unayemjua.