Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje haina faida? Wakati rais eng. Hersi anatunywesha supu ya bure hukuona?watu wanamishahara yao wanapokea kila mwezi ,endeleeni kupayuka bila malipo, biashara ambayo haina faida ni mashabiki wa mpira
Ukweli mchungu.Fainali uzeeni,kina Mo na gsm wanatengeneza pesa na maskini mtaani.
Hip pesa ya kimaskini Bora ukampe mama.ako akupe baraka.Umetisha naomba kila tarehe moja niwe nakuunga bando la mwezi ili usitoke hewani...
Mbona unatumia maneno makali sana? , Kwani umeandikwa mahala lazima wote tuwe matajiri na wenye akili?Hip pesa ya kimaskini Bora ukampe mama.ako akupe baraka.
Una akili kinoma mwamba. Kula like.Nisikilizwe Nina hoja!
Baada ya hivi karibuni kutangaza kufanya maamuzi magumu tena ya kishujaa ya kumkufukuza mke wangu hapa nyumbani na kumrudisha kwao, kutokana kuninyima uhuru wa kuishangilia Yanga sc na kuwatetea kina pacome na Guede mitandaoni, nimekuwa nikipokea jumbe za matusi na kejeli DM.
Ila niweke wazi kuwa msimamo wangu hautobadilika ni heri niishi kwa punyeto huku nikiishangilia Yanga sc kwa uhuru. Sitaki ushauri, tena mnikome, na mkichonga sana kumbukeni na hapa ipo!
Ratiba yangu ya sasa ya kila siku baada ya kumfukuza mke wangu ili niishangilie Yanga sc ni kama ifuatavyo.
Saa 1-4 asubuhi: naamka naingia mitandao yote ya kijamii kuisifia Yanga na kupambana na comment zote mbovu dhidi ya Yanga.
Saa 4-7 mchana: natuma meseji za kuomba msaada wa hela ya kula kwa wanayanga wenzangu, nikikosa natembea kwa mguu mpaka makao mkuu yetu pale jangwani kupata supu na chapati za bure.
Saa 7-10 jioni: natembelea vijiwe vyote vya kahawa maeneo ya kariakoo na katika kila kijiwe naanzisha mada ya Pacome vs chama kisha namtetea Pacome kwa nguvu zote mpaka nieleweke, na itakapolazimu makonde kurushwa niko tayari
Saa 10-2 usiku : naanza kumsifia eng. Hersi Said na Gsm, hii itamuhusu kila atakaye niongelesha ndani ya haya masaa, kila baada ya salamu ntahakikisha nachomekea mada ya Yanga sc na kuanza kumsifia engineer.
Saa 2-4 usiku : Natazama marudio ya mechi ya Yanga sc 5 vs 1 Mbumbumbu fc, nikimaliza nalala.
Namuunga mkono mleta mada.watu wanamishahara yao wanapokea kila mwezi ,endeleeni kupayuka bila malipo, biashara ambayo haina faida ni mashabiki wa mpira
😁😁Kolo Huyo anawewesekaNamuunga mkono mleta mada.
Kama huelewi na makonde yatatumika, tena we mdada nitakupa kerubu moja na bonge la ngumi.
Nataka tuambatane mkuu, atayebisha kwamba Yanga ni noma tunampa kipigo.😁😁Kolo Huyo anaweweseka
Maskini wa kutupwa mmekutana mnafarijiana.Una akili kinoma mwamba. Kula like.
Masikini wa kutupwa ndio nini?Maskini wa kutupwa mmekutana mnafarijiana.
jaribu ule ngwalaNamuunga mkono mleta mada.
Kama huelewi na makonde yatatumika, tena we mdada nitakupa kerubu moja na bonge la ngumi.
Mmh, Makolo hamniwezi. Hata ngwala hamjui kupiga.jaribu ule ngwala
😁😁Kolo Huyo anaweweseka
mwehu ndama unanijua kweliMmh, Makolo hamniwezi. Hata ngwala hamjui kupiga.
Mimi siyo mwehu ndama, naitwa mjuni lwambo.mwehu ndama unanijua kweli
Nakuunga mkono [emoji817]%Kila siku ninasema hapa.
Ukishabikia sana Simba na Yanga akili zinaanza kupotea kichwani.
Nawasihi vijana utumieni muda vizuri.
Hizo timu zimebeba Umasikini wa Tanzania
Kula chuma hichooNakuunga mkono [emoji817]%
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ccm itatawala mpaka Yesu arudiNisikilizwe Nina hoja!