Hii ndiyo ratiba yangu baada ya kumfukuza mke wangu ili niishangilie Yanga SC

watu wanamishahara yao wanapokea kila mwezi ,endeleeni kupayuka bila malipo, biashara ambayo haina faida ni mashabiki wa mpira
Unajuaje haina faida? Wakati rais eng. Hersi anatunywesha supu ya bure hukuona?
 
Ni mke umemfukuza au kakumbia Mana ameona maskini kama.wewe masaa 24 unaitukana.simba yenye tajiri wa kutupwa kama.mo dewji na wachezaji wenye mishahara minono na marupurupu kibao na kuishanglia kutwa kuchwa yanga yenye tajir wa kutupwa gsm na wachezaji wanaolipwa mishahara minono na marupurupu kibao kila siku, Sasa mkeo ameona akibaki happo atakufa njaa.
 
Hip pesa ya kimaskini Bora ukampe mama.ako akupe baraka.
Mbona unatumia maneno makali sana? , Kwani umeandikwa mahala lazima wote tuwe matajiri na wenye akili?
 
Una akili kinoma mwamba. Kula like.
 
watu wanamishahara yao wanapokea kila mwezi ,endeleeni kupayuka bila malipo, biashara ambayo haina faida ni mashabiki wa mpira
Namuunga mkono mleta mada.

Kama huelewi na makonde yatatumika, tena we mdada nitakupa kerubu moja na bonge la ngumi.
 
Kila siku ninasema hapa.

Ukishabikia sana Simba na Yanga akili zinaanza kupotea kichwani.

Nawasihi vijana utumieni muda vizuri.

Hizo timu zimebeba Umasikini wa Tanzania
Nakuunga mkono [emoji817]%
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ccm itatawala mpaka Yesu arudi

Baada ya ccm janga linalofuata nchi hii ni Simba na Yanga

Sema nimecheka, najua mtoa mada hayupo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…