HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia.

AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi.


Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia kamera ya UAV, na iliwavutia watazamaji zaidi ya milioni 5.

Licha ya hali mbaya ya hewa iliyolazimisha ndege nyingine za utafutaji na uokoaji kushindwa kutua, Bayraktar AKINCI UAV ilikamilisha kazi yake na kurudi salama katika kituo chake huko Türkiye.
 
bahati yake mturuki,angefeli tu tungemtuma Eunice wetu uko iran akasake mabaki ya raisi
 
Rais wa nchi anarushwaje kwenye mazingira ya namna hiyo?
 
Eunice wa Nape ni mdoli wa kuonyesha nguo madukani aliepakwa make up, kwa ndani kawekwa speaker ya kichina ya bluetooth. Angeendelea kukaa pale watu wangesika 'bluetooth connected successfully'.
Wabongo mna maneno chaaa
 
we bwana yani drone unaita robot. hupo kijiwe gani mnadanganyana na kahawa ikinyweka
 
Eunice wa Nape ni mdoli wa kuonyesha nguo madukani aliepakwa make up, kwa ndani kawekwa speaker ya kichina ya bluetooth. Angeendelea kukaa pale watu wangesika 'bluetooth connected successfully'.
Wewe jamaa..
Umesema ukweli, Eunice ni kama midoli ya Kariakoo.
Wahuni wameweka matari ya mabegi na kispika cha bluetooth.

Eunice ana thamani ya TZS 3 B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…