Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Utakuwepo au unahamasisha tukuandamie.Njooni tuungane
Mapema sana Route ya Magomeni - Mnazi mmojaUtakuwepo au unahamasisha tukuandamie.
Uzuri ruti hii tutatembelea humu humu JamiiForums, sidhani kama kuna kiroboto mwenye ujasiri wa kuingia barabarani kwenda kuharibiwa viungo vyake na Polisi.Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
View attachment 3102103
Bado hamjasema.Mkiona mtu anakunya ikulu mjue ni Mimi hii ni baada ya maandamano ya wapinzani uchwara kufanikiwa japo kwa sekunde 60.
Hakuna raia wa akili timamu wa kuwaunga mkono political mongers wa chadema
Hamuendi Ikulu? Sasa kuzunguka zu guka huko ndio atatoka? 😬😬😬😬Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
View attachment 3102103
Nipo hapa ,Muda ni mwalimu mzuriBado hamjasema.
Angalizo cdm pangem safu tatu au nne za viongozi wa maandamano Nawajua mapolisi ccm mbinu yaoHaya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
View attachment 3102103
Polisi wakituanza watachapika .Uzuri ruti hii tutatembelea humu humu JamiiForums, sidhani kama kuna kiroboto mwenye ujasiri wa kuingia barabarani kwenda kuharibiwa viungo vyake na Polisi.