Western culture ishawavuruga wale waishio mijini labda huseme waishio mashambanihawa wachina huwa wana dunia Yao kabisa..mfumo wao wa maisha ni tofauti ni binadamu wengine.
Hawa jamaa hata ukiwa unafanya nao kazi,ukiona umebakia mweusi peke yako na wao wako zaidi ya wawili ni bora tu uache kazi,siwaamini kabisa,haukawii kukutwa umehifadhiwa kwenye deep freezer wanakukunywa supu kidogo kidogo...Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.
Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Hawa jamaa hata ukiwa unafanya nao kazi,ukiona umebakia mweusi peke yako na wao wako zaidi ya wawili ni bora tu uache kazi,siwaamini kabisa,haukawii kukutwa umehifadhiwa kwenye deep freezer wanakukunywa supu kidogo kidogo...
Mbona kulizuka RVF (rift valley fever) kwa kula nyama ya ng'ombe?! Au wasabato wamekataza kwenye mambo ha wamalawi sijui kula ng'ombe??!! Toeni hicho kinyesi kichwani na rudisheni ubongo, mtakuwa huru..!Wasabato walikuwa sahihi kabisa kudadavua Mambo ya Walawi 11 wakionekana wamepitwa na wakati, sasa mawatu yanavuna ulichokipanda sababu ya ulafi tu, kumbe Mungu hadhihakiwi kamwe na....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu homa ya mafua ya ndege, mafua ya nguruwe, nayo walichoma nini? Ebola Afrika magharibi, walichoma nini?Naskia hawa jamaa walkua wanachoma quraan moto eti ndo kama laana hyo mjngu kawashushia ya kweli hay??
yess BiShoo haswaaAaa
Acha upuuzi nanjilinji wanapotea kwa mafuriko wewe unawadhihaki ebooohUchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.
Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula kinatisha mmhUchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.
Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi nanjilinji wanapotea kwa mafuriko wewe unawadhihaki eboooh
Sent using Jamii Forums mobile app