Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa jamaa hata ukiwa unafanya nao kazi,ukiona umebakia mweusi peke yako na wao wako zaidi ya wawili ni bora tu uache kazi,siwaamini kabisa,haukawii kukutwa umehifadhiwa kwenye deep freezer wanakukunywa supu kidogo kidogo...
 
[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wameanza kula mwaka huu huyo mnyama ndege? Au huyo popo kaupata huko kawaletea China ? Isije walikuwa wanafanya tafiti zao POPO akawaponyoka na kaenda kuliwa huko! POPO mwenyewe anatisha jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule wanao waita njiwa wausiku mbona wao hawapati hiko kirusi
 
Ukienda China usile vyakula vyao we kazia matunda tu
Maana hata biscuits zao ni mifupa ya mbwa
Unafikiri unakula biscuits kumbe
Hawa hakuna kitu wanatupa kama wana shamba wananunua mavi ya binadamu kama mbolea
Yaani bado hawajala MAWE tu
Naona wanatafuta njia ya kupika mawe sasa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Popo kawapopoa sasa,Hua sheria za Mwenyezi Mungu ukizikengeuka ndivyo inavyokuwa,Mungu katupa sifa za wanyama tuwale na wengine tusiwale,ukikengeuka hapo lazima Mwenyezi Mungu akupe adabu ndio kama ivyo
 
Wasabato walikuwa sahihi kabisa kudadavua Mambo ya Walawi 11 wakionekana wamepitwa na wakati, sasa mawatu yanavuna ulichokipanda sababu ya ulafi tu, kumbe Mungu hadhihakiwi kamwe na....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kulizuka RVF (rift valley fever) kwa kula nyama ya ng'ombe?! Au wasabato wamekataza kwenye mambo ha wamalawi sijui kula ng'ombe??!! Toeni hicho kinyesi kichwani na rudisheni ubongo, mtakuwa huru..!
 
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi nanjilinji wanapotea kwa mafuriko wewe unawadhihaki eboooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula kinatisha mmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom