Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Wameshatengeneza hospitali ya wagonjwa hao kwa siku 6 iaha kamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanaanza na kutengeneza ugonjwa na dawa kwanza.Majaribio wanafanya kwa wanyama halafu wanawatibu na wakipata uhakika wa dawa ndio wanatupia kwa binadamu.Baada ya muda watajifanya wanafanya uchunguzi kwa kujaribisha dawa ambazo tzyari walishatengeneza zamani.KWA UFUPI WANAANZISHA TATIZO AMBALO JIBU LAKE WANALO WENYEWE SIKU NYINGI
 
Duh!!! Hii Hatari sana kwa nchi masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…