mkuu wa kijiji
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 966
- 1,052
Achana na Sisi wa Nanjilinji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanaanza na kutengeneza ugonjwa na dawa kwanza.Majaribio wanafanya kwa wanyama halafu wanawatibu na wakipata uhakika wa dawa ndio wanatupia kwa binadamu.Baada ya muda watajifanya wanafanya uchunguzi kwa kujaribisha dawa ambazo tzyari walishatengeneza zamani.KWA UFUPI WANAANZISHA TATIZO AMBALO JIBU LAKE WANALO WENYEWE SIKU NYINGIWameshatengeneza hospitali ya wagonjwa hao kwa siku 6 iaha kamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
KIMETENGENEZWA NA DAWA ILISHATENGENEZWA NI MUDA TU.HII NDIO DUNIA YETU NI KATILI SANA
Huwa wanaanza na kutengeneza ugonjwa na dawa kwanza.Majaribio wanafanya kwa wanyama halafu wanawatibu na wakipata uhakika wa dawa ndio wanatupia kwa binadamu.Baada ya muda watajifanya wanafanya uchunguzi kwa kujaribisha dawa ambazo tzyari walishatengeneza zamani.KWA UFUPI WANAANZISHA TATIZO AMBALO JIBU LAKE WANALO WENYEWE SIKU NYINGI