Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.

Asanteni



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wachina huwa wana dunia Yao kabisa..mfumo wao wa maisha ni tofauti ni binadamu wengine.
 
Huyo supu nilikunywa nilipokuwa Guangzhou tuliita shwanshwei....au xyanxyei
 
bat wings ni tamu kweli kweli,ile n brown meat bana,
#Ajabu na kweli hara wajerumani huenda uchina kwenda kupata supu hii maridhawa.
 
Back
Top Bottom