Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Mbona kulizuka RVF (rift valley fever) kwa kula nyama ya ng'ombe?! Au wasabato wamekataza kwenye mambo ha wamalawi sijui kula ng'ombe??!! Toeni hicho kinyesi kichwani na rudisheni ubongo, mtakuwa huru..!
Wasabato ndiyo watu wa kwanza kabisa kupinga kula nyama nyekundu, tokwa na pepo la upumbavu kwa jina la Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu homa ya mafua ya ndege, mafua ya nguruwe, nayo walichoma nini? Ebola Afrika magharibi, walichoma nini?
Mm nmeuliza tu mkuu hata sielewi nmeona tu mitandaon ikabd niulize sko hapa kpingana na dini yyte wala kuegemea upande wwte mkuu

yess BiShoo haswaaAaa
 
Back
Top Bottom