Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Mm kinacho nitisha ni siku China wakilipiza hili maana dunia itaomba bora tupigane WW3
 
shida sio supu kwani hiyo supu wameanza kunywa miaka mingi.Hapo kuna biashara inatengenezwa muda si mrefu dawa itakuwa mitaani na kinga pia .Biashara itaendelea.Ukitaka kuwa tajiri ni lazima kuwa na maamuzi magumu kama ya hawa jamaa hawajali hata maisha ya wengine,HUO NDIO UCHAWI HAKUNA UCHAWI AU KAFARA NYINGINE
 
Kuna usemi niliukuta mahali kwamba "Chenese eat anything that crosses"
 
shida sio supu kwani hiyo supu wameanza kunywa miaka mingi.Hapo kuna biashara inatengenezwa muda si mrefu dawa itakuwa mitaani na kinga pia .Biashara itaendelea.Ukitaka kuwa tajiri ni lazima kuwa na maamuzi magumu kama ya hawa jamaa hawajali hata maisha ya wengine,HUO NDIO UCHAWI HAKUNA UCHAWI AU KAFARA NYINGINE
Kwahiyo wametengeneza hicho kirusi wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom