RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Nani alikwambia ikifa bush moja unanunua zote? Mbona hizi gari zinakuumiza kichwa kuliko wanaozitumia? Bakini na Toyota zenu hizi tuachieni Sisi. Halafu ujue wengi wenye hizi mnazoogopa wana Toyota au walikuwa wana Toyota wakishindwa si wanarudi Toyota tu...Ndio maana yake, Germans wana Over engineering na ndio inafanya gari iwe na matatizo lukuki. Nimeshangaa kuona hapo mguu mmoja una mikono 3 yenye bushing 3! Ikifa bush 1 unanunu zote,spear zitaacha kuwa aghali kweli.?