Nani alikwambia ikifa bush moja unanunua zote? Mbona hizi gari zinakuumiza kichwa kuliko wanaozitumia? Bakini na Toyota zenu hizi tuachieni Sisi. Halafu ujue wengi wenye hizi mnazoogopa wana Toyota au walikuwa wana Toyota wakishindwa si wanarudi Toyota tu...Ndio maana yake, Germans wana Over engineering na ndio inafanya gari iwe na matatizo lukuki. Nimeshangaa kuona hapo mguu mmoja una mikono 3 yenye bushing 3! Ikifa bush 1 unanunu zote,spear zitaacha kuwa aghali kweli.?
Mkuu mm nna altezza ina mikono balaa yan mbele na nyuma inafananaTatizo wengi mna comment kwa hisia. Kaangalie gx100 Cresta ina mikono mingapi halafu Mimi nitakwambia vw golf ina wishbone moja mbele ambayo shape inafanana na ya corolla.
Gx100 ni arms kadhaa chini plus juu ina wishbone kubwa.
Mifumo ya magari ni ile ile yanatofautiana vitu vidogo sana.
Afadhali useme wewe.Mkuu mm nna altezza ina mikono balaa yan mbele na nyuma inafanana
Tena ile nikiibomoa mbele na nyuma inakula vifaa vya laki 8Afadhali useme wewe.
Hahahahah basi braza hii ligi ni kama Derby 😂Nani alikwambia ikifa bush moja unanunua zote? Mbona hizi gari zinakuumiza kichwa kuliko wanaozitumia? Bakini na Toyota zenu hizi tuachieni Sisi. Halafu ujue wengi wenye hizi mnazoogopa wana Toyota au walikuwa wana Toyota wakishindwa si wanarudi Toyota tu...
Ngoja ntakupa mrejesho 😝Tatizo wengi mna comment kwa hisia. Kaangalie gx100 Cresta ina mikono mingapi halafu Mimi nitakwambia vw golf ina wishbone moja mbele ambayo shape inafanana na ya corolla.
Gx100 ni arms kadhaa chini plus juu ina wishbone kubwa.
Mifumo ya magari ni ile ile yanatofautiana vitu vidogo sana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Labda yanafunga ili dereva apambane na hali yake, mwanaume hakimbii matatizo.
No retreat no surrender.
Bora mwenye magari yako umekuja, mana humu unaweza ukapigwa za uso ukatoka umechanganyikiwa kabisa.Tatizo wengi mna comment kwa hisia. Kaangalie gx100 Cresta ina mikono mingapi halafu Mimi nitakwambia vw golf ina wishbone moja mbele ambayo shape inafanana na ya corolla.
Gx100 ni arms kadhaa chini plus juu ina wishbone kubwa.
Mifumo ya magari ni ile ile yanatofautiana vitu vidogo sana.
Hahah daah hili jibu ni kisanga.Sawa Ellon Musk
Eeh jamaa si tajiri bhana😂Hahah daah hili jibu ni kisanga.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Labda yanafunga ili dereva apambane na hali yake, mwanaume hakimbii matatizo.
No retreat no surrender.
Complication lakini sometimes it worth.Japan= Simplicity
German= Complicated
Nimeipenda hiiComplication lakini sometimes it worth.
Juzikati tulikuwa tunabadili water pump ile ya Chini kwenye Volkswagen Amarok [Volkswagen hizi za kisasa zina water pump mbili].
Sasa coolant ilimwagika. Gari kuja kuiweka Switch ON inapiga alarm na taa ya Temperature inawaka. Hiyo taa ilikuwja kupotea baada ya coolant kuwa kwenye level inayotakiwa.
Siyo unaendesha gari inamwaga coolant yote hata hushtukia. Ukija kushtuka inabidi ukanunue engine nyingine. Hayo mambo kwa mzungu hayapo.
European cars nyingi sehemu ya kuweka coolant ina sensor kwa ajili ya kupima level ya coolant.Nimeipenda hii