Hii ndiyo tofauti kati ya Mshabiki makini wa Yanga SC Mbunge Ridhiwani Kikwete na wale Mashabiki ' Maandazi ' na ' Oya Oya ' wengi waliopo Jangwani

Hata hivyo umemtolea ushahidi mkubwa sana ungemuacha tu..mbona mimi sijasikiliza EFM lakini kwa umakini wangu wa kufuatia Sports nimeinyaka hiyo.

Au hata katika ukurasa wake Instagram ameandika hayo..watu wengine waache kama walivyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…