Ok upo right mkuu sijakataa,yawezekana yupo hivyo kibiashara kutokana na soko alilonalo but atazame yeye ana familia now,hawa watoto zake wanakua,ataanzaje kuwafundisha maadili na desturi za jamii yake?Ha ha....ni mtazamo wako ila sidhani kama ni jambo rahisi kwa kizazi hiki cha wasanii kwa dunia nzima kuweka mipaka kwenye personal life style... vipi umewahi kufikiria juu ya branding na kujua diamond ameamua kui present brand yake kwa style ipi? ...... ukielewa hilo hutashangaa visanga na mambo yake!
Hahaa,whatever mkuu ila tunachofahamu anawakilisha taifa kama mwanamuziki wa tanzania.Diamond hajaufikisha muziki wa Tanzania mbali, yeye anapiga Afro Beat ambao ni muziki wa Nigeria, hivyo anaendeleza pale walipofika Nigerians. He doesn't have a brand, yeye ni msanii muigizaji tu hata Kiba naye ni hivyo hivyo. Bongo fleva si muziki wetu hata siku moja, tuache kujidanganya.
Okay but mkuu umeniacha,sijajua umekubaliana na kamanda Bujibuji ama unaenda opp nayeNa mie nikikwambia maisha bila ya Krishna ni bure kabisa utasemaje..?! Waislamu je? Na watu wa dini nyengine je?! Hizi ni story tu just live your life in a humanistic way to make a better world instead of kupeana story za kutenga humanity. On the other hand Olufela Olusegun Oludotun Ransome Kuti bado anaishi mioyoni mwa millions of his funs including me..! Every year kuna concerts kwenye majiji makubwa karibu yote duniani. Concerts hizo zinaitwa Felabration kumkumbuka gwiji, genius na baba wa music wa afrobeat..! Peace
Ubavu.
Maneno ya mkosaji tuu hayo ndugu,sijamkazia popote diamond zaid ya kusema ukweli,lakini pia suala la kuzaa hovyo nalo ni kosa ko siwezi kuyasema yote but nimesema kuna mtu kimaadili anajitahid tofaut na mwingine.Tatizo mtoa mada umeonesha upande, wala hujatoa uchambuzi umejitahidi kumpamba mmoja na kumchafua mwingine. Unataka kunambia hofu ya Mungu ipo kwa kutovaa hereni na mikufu pekee lakini hofu hiyo isiwe ya kuwa na mahusiano holela na kuwa na watoto lukuki mana kwa dini ya kiislam hao watoto tayari kuna haki ambazo watazikosa kutoka Kwa Baba yao kwa mujibu wa dini.
Hahahaa watu bhana,ko alikiba mumemuona kwenye nywele tyuu.ok.kingine kipi udhaifu wa alikibaUjaiona nyimbo ya Mvumo wa Radi ww zile nywele nyekundu za papilii
Hahaa you are a funny guy mkuu,hivi kwa alikiba umeona ni hereni tyuu.ehee kingine?We Jay Z humjui Jay Z anavaa mlegezo sana (angalia show zake) na ana mikufu na micheni kama mia na kama hujui USA hamna labda rapper asiyevaa Micheni hayupo. Hao akina Rakhim, uncle Luc wasanii wa long wanapiga milegezo na micheni kama kawa (wanamiaka zaidi ya 55+). Huyo Prof Jay sababu ya ubunge lakini naye milegezo na micheni kaipiga sana, labda kama umezaliwa juzi (Hebu itafute nyimbo aliyoiimba juzi chafu tatu). Ila ni ujana tu akikua ataacha, hata huyo kiba Kuna picha moja kapiga na Bob junior kavaa hereni enzi hizo.
Hujaeleweka mkuuUKINYWA MOFAYA UTABADILI MTAZAMO
SanaFikra za watanganyika utaziona katika posts na comments zao.
Ndiyo mkuu,vp ulmeamkia kwa kilabu nini?Hivi kumbe Leo ni jumapili
Bora ingekua kilabuni
Kwa kiba akivaa hereni sawa ila diamond hajitambui si unavyomaanisha, unajifanya mchambuzi alafu hata unavyovichambua huvijui, huna hata reference za kutosha kwa kuongeza katafute ile sketi aliyoivaa mwaka Jana ktk kipindi cha MTV sync na ile nguo yake aliyoivaa ktk show ya one London au labda unachomaanisha diamond ajiheshim, ila kiba ajiachie.Sio unachagua picha ungeposti na hizi zote ni za mwaka Jana.Hahaa you are a funny guy mkuu,hivi kwa alikiba umeona ni hereni tyuu.ehee kingine?
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
na yeye mbna uwa anavaa jeans za kuchanika km mondHahahaa watu bhana,ko alikiba mumemuona kwenye nywele tyuu.ok.kingine kipi udhaifu wa alikiba
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Kumbe somo kwako halijaeleweka kijanaView attachment 805206 View attachment 805209
Kwa kiba akivaa hereni sawa ila diamond hajitambui si unavyomaanisha, unajifanya mchambuzi alafu hata unavyovichambua huvijui, huna hata reference za kutosha kwa kuongeza katafute ile sketi aliyoivaa mwaka Jana ktk kipindi cha MTV sync na ile nguo yake aliyoivaa ktk show ya one London au labda unachomaanisha diamond ajiheshim, ila kiba ajiachie.Sio unachagua picha ungeposti na hizi zote ni za mwaka Jana.View attachment 805209 View attachment 805206
Kumbe somo kwako halijaeleweka kijana
Duh,team mondi kazini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo hujui ulichokiandika, alafu unajifanya unajua kumbe bonge la kilazer. Najua ww mgeni jf, ila siku ukijaribu kuleta mada jaribu kuwa kama msomi uwe na reference za kutosha na si kuelemea upande mmoja, humu watu wanajua zaidi ujuavyo ww.
Nilijua kama utaangukua huku, wewe kiba umemposti kavaa suti mondi suruali iliyochanika, inamaana na ww timu kiba, alafu unajiita Mchambuzi.Duh,team mondi kazini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaa,whatever mkuu ila tunachofahamu anawakilisha taifa kama mwanamuziki wa tanzania.
OVA!!
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app