Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
- Thread starter
- #21
Ok upo right mkuu sijakataa,yawezekana yupo hivyo kibiashara kutokana na soko alilonalo but atazame yeye ana familia now,hawa watoto zake wanakua,ataanzaje kuwafundisha maadili na desturi za jamii yake?Ha ha....ni mtazamo wako ila sidhani kama ni jambo rahisi kwa kizazi hiki cha wasanii kwa dunia nzima kuweka mipaka kwenye personal life style... vipi umewahi kufikiria juu ya branding na kujua diamond ameamua kui present brand yake kwa style ipi? ...... ukielewa hilo hutashangaa visanga na mambo yake!
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app