Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kwel mkuu matola anatisha Simba ya matola imehongwa na tz prisonMlikutana na kikosi cha mumadrid huku kikiwa na majeruhi wengi. Mngekutana na hiki cha matola mngejinyea.
Yanga inawatesa sana msimu huu. Hamieni c.unionNa wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha
Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.
Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Nawaza hivi mtibwa alimhonga nani hadi mtani akapigwa, mbeya city nayo sijui ilihonga nini kwa tajiri hadi mikia ikafungwa, Kombe la Azam pale mwanza mlihongwa sh ngapi na yanga, pale kaitaba napo sijui mlihongwa sh ngapi hadi mkafungwa?? Ukiwa maskini wa mawazo hata ndege wanakunyeaMkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo.
Hakuna ushindi bila kuhonga.
Ngao ya jamii inakuja mhamishe wachezaji wenu kina Sakho kabisa ili msihujumiwe!Michezo ya hujuma nje ya uwanja tu
Simba mwemyewe alikula hongo mpaka mo robo fainali wakaachiaMkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo.
Hakuna ushindi bila kuhonga.
Bila Shaka na ww ulikuwa ni mwanazuoni uliyeingizwa kwenye vyumba vya Wana yanga huko mbeya.Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha
Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.
Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
hicho cha matola kimekusanya point ngapiMlikutana na kikosi cha mumadrid huku kikiwa na majeruhi wengi. Mngekutana na hiki cha matola mngejinyea.