Hii ndiyo yanga halisi. Hawajacheza nje ya uwanja

Hii ndiyo yanga halisi. Hawajacheza nje ya uwanja

Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha

Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.

Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Yanga inawatesa sana msimu huu. Hamieni c.union
 
Mkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo.

Hakuna ushindi bila kuhonga.
Nawaza hivi mtibwa alimhonga nani hadi mtani akapigwa, mbeya city nayo sijui ilihonga nini kwa tajiri hadi mikia ikafungwa, Kombe la Azam pale mwanza mlihongwa sh ngapi na yanga, pale kaitaba napo sijui mlihongwa sh ngapi hadi mkafungwa?? Ukiwa maskini wa mawazo hata ndege wanakunyea
 
Michezo ya hujuma nje ya uwanja tu
Ngao ya jamii inakuja mhamishe wachezaji wenu kina Sakho kabisa ili msihujumiwe!
napo mtapigwa tu maana hakuna namna!! Mayele aliwapiga, Morrison aliwapiga, Zawadi Mauya aliwapiga, Feisal aliwapiga, Saidoo aliwapiga, zote hizo ni hujuma? na Nkane asingekuwa mchoyo ile dakika ya mwisho ile mechi ya ligi pia tungewapiga!
Huwezi kuinuka kama hukubali kuwa umeanguka!
 
Na wasipobadilika watafungwa na Coastal Union FC Weekend ijayo katika ASFC Final huko Arusha

Wachezaji wa Yanga SC tokea wawe Mabingwa wanajiachia mno na Malaya mbalimbali wa Majiji wanayoenda.

Hata Juzi walivyoingia Mkoani Mbeya unaambiwa Wachezaji wa Yanga SC wameingiza sana Mademu wa Vyuo Jirani Vyumbani mwao.
Bila Shaka na ww ulikuwa ni mwanazuoni uliyeingizwa kwenye vyumba vya Wana yanga huko mbeya.
 
Wazee wakuloga hadharani hamna chenu mwaka huu[emoji23][emoji23]
Endeleeni kujifariji wachawi wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom