Hii ndo hali ya Uchawi (Ushirikina) katika mchezo soka hasa watani wa Jadi

Watu wengine bhana kama bata hata uwalishe kokoto watahara tu.

Hivi wewe na Sunday nani anajua mpira. Ikiwa mimi sijui je unamshinda Sunday wewe aliyeelezea hapo?

Kwa akili kama zako za ndezi unadhani nimetunga ilhali nimekuwekea chanzo hapo..bata maji wewe.
Huyo sunday anajua uchawi!! Sio mpira...
 
Kama uchawi unasaidia,mbona team's zetu hazifiki mbali mashindano ya kimataifa???
 
Uchawi upo na una fanya kazi.kuamini uchawi upo sio dhambi.dhambi ni kuushiriki huo uchawi.hata udaktari pia ni uchawi.inategemea uchawi upi unaotumia.
Kuna uchawi mzuri na uchawi mbaya.
 
Kama uchawi upo kwenye mpira..Nigeria wangechukua World Cup kila siku
Kupanga ni kuchagua. Fedha ndo kitu kinachopedwa zaidi, lakini mbona mchawi anaingia ndani ya nyumba na anakuta mamilioni na asichukue?
 
... reality ni kuwa ili uchawi ufanye kazi ni lazima mtendaji na mtendwaji wawe na mlango wa kuruhusu huo uchawi kutendekea.
... kama simba wanarogeka ina maana ya kuwa na wao wana mlango katika kutenda mambo ya kichawi.
... ndio maana timu za kiafrika haziwezi kuperfrim vyema katika michuano ya kimataifa nje ya afrika.
 
Kuna baadhi wanadai kuwa mpira hakuna uchawi wakasema na kwa namna Mji wa Sumbawanga ulivyotamalaki katika uchawi basi wangekuwa na Klabu ya Ligi Kuu. Na Nigeria wangechukua Kombe Kombe la dunia.

Akihojiwa na gazeti la michezo la Championi Golikipa wa zamani wa Yanga kwa sasa ni Kocha wa Makipa Juma Pondamali, alisema uchawi unatumika katika soka na yeye anauamini huku akisisitiza uchawi ni utamaduni wa mwafrika.

Kama hiyo haitoshi Nyota wa zamani wa mpira hapa nchini, Sunday Manara Computer, ambaye aliitwa Computer kabla hazijaja nchini kutokana na umahiri wake katika kusakata kabumbu.

Yeye wakati anahojiwa na Azam Tv kabla ya mchezo wa Simba na Yanga alisema kuna mambo ya utaalamu kwa wazee katika mpira wa miguu huku akitoa ushahidi kuwa katika Yanga kuna kitengo maalumu cha wataalamu ambapo wao kazi yao ni hiyo huwezi kuwakataza.

Kwa mukhutadha huo; Yanga walitumia wataalamu kuepuka kipigo kizito..tena kipigo kizito chenye kufedhehesha. Na namna walivyotumia ni hivi, kwa kuwa huwezi kuzuia mashuti yasije golini kwako basi unayadivert uelekeo mwingine.

Kwahivyo ili kufanya hilo mpira wa kwanza ukianza tu piga shuti uelekeo unaotaka basi kitakachofuata hapo mashuti ya mpinzani hayaendi ndani kwa maana kuwa goli..hapo itakuwa Deal done!
View attachment 884673View attachment 884674
Unajua kwamba Simba kwa misimu miwili mfululizo iliadhibiwa na TFF kwa kujihusisha na vitendo vya kishirikina?
 
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..

Unataka kumliza nani [emoji15]
 
Hivi upo serious kweli? Ama unafurahisha genge tu

Back
Top Bottom